ubapa
Hali ya uso kuwa sawa bila kupinda.
Vimepatikana vidahizo 55 vinavyoishia kwa silabi pa.
Hali ya uso kuwa sawa bila kupinda.
Kutokuwa na fedha na vitu vya lazima.
Dutu ya mtupa au mnyara iliyotumiwa kutia samaki sumu.
Kifaa cha kufuta kioo cha gari.
Mchezaji wa kriketi anayekaa nyuma ya wiketi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.