choo
1. Mnyoo wa kahawia wa matope ya ufukweni unaotumiwa kama chambo cha kuvulia samaki. 2. Sehemu au kifaa kilichotengwa kwa ajili ya kujisaidia haja...
Vimepatikana vidahizo 10 vinavyoishia kwa silabi oo.
1. Mnyoo wa kahawia wa matope ya ufukweni unaotumiwa kama chambo cha kuvulia samaki. 2. Sehemu au kifaa kilichotengwa kwa ajili ya kujisaidia haja...
1. Kitu chenye uso unaorudisha taswira ya anayeangalia. 2. Waya unaotumiwa kunasa samaki.
Mkusanyiko wa matini uliopangwa kwa madhumuni maalumu.
1. Kuku wa kike. 2. Mwanamke anayeishi na mwanamume bila ndoa.
1. Kiumbe kidogo kirefu kinachokwenda kwa kujipinda. 2. Mchango mrefu mweupe anayeishi ndani ya mnyama.
Chombo cha duara cha kuwekea na kubebea maji.
Tamko la kumdharau au kumdhihaki mtu.
Mamalia wa baharini anayeogelea kwa wepesi na anaweza kuruka juu ya maji.
Tunda gumu la mviringo ambalo kiini chake hutafunwa pamoja na tambuu.
Kikuku kinachovaliwa juu ya kiwiko.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.