Maana 1
Chombo chenye umbo la duara na mdomo mpana, hutengenezwa kwa plastiki, bati, au chuma, na hutumika kuchotea, kubebea au kuhifadhia maji, vyakula, au vitu vingine.
Mfano wa matumizi: Mama alitumia ndoo kuchota maji kisimani.

Kipimo cha ujazo kinachokadiriwa kwa kiasi cha maji au kitu kingine kinachoweza kujazwa kwenye ndoo moja.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.