kindumbwendumbwe
1. Ngoma ya kumfedhehesha mtoto aliyekojoa kitandani. 2. Hali ya hekaheka nyingi. 3. Ushindani wa kugombea kitu au nafasi.
Vimepatikana vidahizo 1 vinavyoishia kwa silabi mbwe.
1. Ngoma ya kumfedhehesha mtoto aliyekojoa kitandani. 2. Hali ya hekaheka nyingi. 3. Ushindani wa kugombea kitu au nafasi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.