1. Ngoma ya kumfedhehesha mtoto aliyekojoa kitandani.
Nomino2. Hali ya hekaheka nyingi.
Nomino3. Ushindani wa kugombea kitu au nafasi.
Nomino1. Bedwetting shaming ritual; a public procession ridiculing a child.
Nomino2. Commotion; a state of bustle and confusion.
Nomino3. Contest; competition for a prize or position.
Nomino1. Rituel d'humiliation pour énurésie; défilé tournant un enfant en dérision.
Nomino2. Agitation; situation de mouvement et de confusion.
Nomino3. Compétition; lutte pour un prix ou une place.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi