Vinjari kwa Silabi

Silabi: mbo

Vimepatikana vidahizo 34 vinavyoishia kwa silabi mbo.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 34

Vidahizo

34 kwenye ukurasa huu

fimbo

1. Mti mrefu mwembamba wa kuchapia. 2. Mti uliotayarishwa wa kushikwa wakati wa kutembea.

gombo

1. Upande wa karatasi ya kitabu unaosomeka kama ukurasa. 2. Ngoma ya tambiko ya baadhi ya Waswahili wa mwambao.

kiwambo

1. Sehemu ya simu ya mezani yenye mahali pa kusikilizia na kuzungumzia. 2. Msuli uliopinda unaotenganisha kifua na tumbo. 3. Kifaa cha kuzuia mim...

masombo

1. Kitambaa kinachovaliwa kwa kufungwa kiunoni. 2. Namna ya kuvaa nguo kwa kuizungusha kiunoni.

mtambo

1. Kifaa kinachozalisha nguvu za kuendeshea vifaa vya kazi. 2. Kiunzi kinachotumiwa kufumia nguo. 3. Kamba ya chane za miyaa ya kuvutia mtego wa ...

mtembo

1. Mipasuko inayotokea kwenye visigino vya miguu. 2. Moyo laini unaopatikana kileleni mwa mnazi.

uwambo

1. Tendo la kutandaza ngozi kwenye kitu. 2. Namna ya kufunika kwa nyenzo iliyokazwa.