hombo

0

1. Kwa wingi au kiasi kikubwa.

Kielezi
Mfano wa matumizi Samaki walipatikana hombo katika soko la Kigoma.

2. Jambo linalofichwa lisijulikane na watu.

Nomino
Mfano wa matumizi Alitunza hombo ya rafiki yake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →