malai 1. Tabaka la mafuta linalotokea juu ya maziwa. 2. Mafuta mazito ya kupaka ngozi. 3. Barafu yenye sukari na rangi ya kutafuna au kunyonya. Soma zaidi