Vinjari kwa Silabi

Silabi: laa

Vimepatikana vidahizo 2 vinavyoishia kwa silabi laa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 2

Vidahizo

2 kwenye ukurasa huu

balaa

1. Jambo, kitu au mtu anayehusishwa na kuleta maafa, hasara au mkosi. 2. Hali au jambo linaloleta vurugu, mtafaruku au kutopatana.