Kauli ya kustaajabia jambo.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Salaalaa! Nyumba hii imejengwa kwa siku chache tu!
Goodness; an exclamation expressing surprise.
Kihisishi
Example
Goodness! This house was built in just a few days!
Oh là là; exclamation exprimant la surprise.
Kihisishi
Exemple
Oh là là ! Cette maison a été construite en quelques jours seulement !
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi