Vinjari kwa Silabi

Silabi: kia

Vimepatikana vidahizo 26 vinavyoishia kwa silabi kia.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 26

Vidahizo

26 kwenye ukurasa huu

amkia

1. Kumsalimu mtu na kumjulia hali, hasa wakati wa asubuhi. 2. Kuwa usiku unaotangulia siku fulani inayofuata. 3. Kufika mahali mapema sana alfaji...

chapukia

1. Kuwa na ladha nzuri kwa kukolea viungo. 2. Furahia jambo. 3. Noga au fikia hali ya kuvutia na kufurahisha.

dakia

1. Ruka juu ya kitu au ingia ndani yake kwa kuruka. 2. Rukia chombo kinachoendelea kwenda. 3. Fanya jambo kwa papara bila kulifikiria vya kutosha...

kiakia

1. Zungukazunguka bila kusudi wala utulivu. 2. Hangaiko linalomwingia mtu kutokana na hali fulani.

pakia

1. Ingiza mizigo au abiria katika chombo cha usafiri. 2. Hamisha faili kutoka kifaa chako kwenda mfumo mwingine.

ukukia

1. Kikucha kinachochomoza kando ya ukucha mkubwa. 2. Mwiba wa mdudu wa kudungia.