Kumeza chakula au kinywaji kwa pupa bila kutulia.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Katika hadithi ya Okot, mhusika aliakia chakula akihofia kuchelewa.
Gulp; swallow food or drink greedily and hastily.
Kitenzi
Example
In Okot’s story, the character gulped down his food for fear of being late.
Avaler goulûment; ingérer de la nourriture ou une boisson avec avidité et précipitation.
Kitenzi
Exemple
Dans le récit d’Okot, le personnage a avalé son repas précipitamment de peur d’être en retard.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi