Vinjari kwa Silabi

Silabi: jo

Vimepatikana vidahizo 31 vinavyoishia kwa silabi jo.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 31

Vidahizo

31 kwenye ukurasa huu

mbojo

1. Simba anayeaminika kuhusiana na mtu au nguvu za kichawi. 2. Mtu anayejifunika ngozi ya simba ili kuwatisha watu.

mchujo

1. Kutenga kimiminika na chembe ngumu zilizomo. 2. Uondoaji wa washindani ili kubakiza wanaofaa kuendelea.

tojo

1. Chale au alama iliyowekwa mwilini. 2. Chapa inayotambulisha bidhaa ya biashara.