Vinjari kwa Silabi

Silabi: jia

Vimepatikana vidahizo 33 vinavyoishia kwa silabi jia.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 33

Vidahizo

33 kwenye ukurasa huu

bajia

Kitafunwa kidogo cha kukaangwa kinachotengenezwa kwa unga wa kunde au dengu, mara nyingi kikiwa na viungo na pilipili.

jia

1. Fika ili kuchukua kitu ulichoahidiwa. 2. Tumia njia fulani unapofika mahali.

liturujia

1. Mpangilio unaofuatwa katika ibada za Kikristo. 2. Ibada ya kuadhimisha Ushirika Mtakatifu.

njia

1. Sehemu nyembamba wanayopitia watu kutoka mahali hadi pengine. 2. Utaratibu wa kutekeleza jambo.