Maana 1
Njia au mwelekeo wa kufuata ili kufika mahali fulani.
Mfano wa matumizi: Alipotea kwa sababu hakujua jia ya kwenda sokoni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.