Vinjari kwa Silabi

Silabi: ji

Vimepatikana vidahizo 636 vinavyoishia kwa silabi ji.

Ukurasa 2 / 13 Jumla 636

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

majimaji

1. Dutu inayoweza kutiririka kama maji au damu. 2. Shuti kali linalokwenda moja kwa moja langoni.

mchunaji

1. Mtu anayeondoa ngozi ya mnyama. 2. Mtu anayejipatia faida kwa kujifanya ana nia nyingine.

mchungaji

1. Mtu anayepeleka na kuangalia mifugo malishoni. 2. Kiongozi wa kanisa mwenye jukumu la kiroho kwa waumini.

mji

1. Makazi yenye nyumba nyingi na shughuli mbalimbali za watu. 2. Nyumba au makazi ya familia moja. 3. Sehemu ya ndani ya kaburi anapolazwa maiti....