akiolojia
Elimu ya kuchunguza maisha ya jamii za zamani kupitia mabaki ya shughuli zao.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi ia.
Elimu ya kuchunguza maisha ya jamii za zamani kupitia mabaki ya shughuli zao.
1. Mtu anayetambuliwa kisheria kuwa mwananchi wa nchi fulani. 2. Mtu asiye mwanajeshi wala polisi.
1. Kitambaa cha kushikilia jambia kwa kulifunga. 2. Nguo inayotandazwa juu ya jeneza kulifunika.
1. Angalia jambo kwa umakini mkubwa. 2. Fuatilia matendo ya mtu ili uyajue.
Ushirikiano wa kufanya shughuli kwa pamoja.
Hadhi ya mtu kuwa mwananchi wa nchi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.