1. Kitambaa cha kushikilia jambia kwa kulifunga.
Nomino
Mfano wa matumizi
Jambia lilifungwa kwa sabaia.
2. Nguo inayotandazwa juu ya jeneza kulifunika.
Nomino
Mfano wa matumizi
Jeneza lilifunikwa sabaia.
1. Dagger cloth; a cloth used to secure a dagger.
Nomino
Example
The dagger was secured with a cloth.
2. Funeral pall; a cloth covering a coffin.
Nomino
Example
The coffin was covered with a pall.
1. Étoffe de fixation; tissu servant à attacher une dague.
Nomino
Exemple
La dague était attachée avec une étoffe.
2. Drap mortuaire; étoffe couvrant un cercueil.
Nomino
Exemple
Le cercueil était couvert d'un drap mortuaire.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi