Vinjari kwa Silabi

Silabi: gea

Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi gea.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 6

Vidahizo

6 kwenye ukurasa huu

legea

1. Kuwa laini sana au tepetepete. 2. Pungua mkazo au uthabiti uliokuwapo. 3. Pungukiwa na nguvu za mwili.

ugea

1. Kitoweo kinachopikwa kwa matumbo ya samaki. 2. Kwa ulaini mkubwa. 3. Minofu ya papa au taa iliyopikwa katika mafuta yake.