jongea

0

1. Songa kwa mwendo wa polepole.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Gari linajongea polepole kwenye foleni.

2. Sogea karibu na mtu au kitu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Jongea karibu ili tusikilizane.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →