Vinjari kwa Silabi

Silabi: eo

Vimepatikana vidahizo 8 vinavyoishia kwa silabi eo.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 8

Vidahizo

8 kwenye ukurasa huu

kichocheo

1. Kitu kinachosaidia moto kuwaka zaidi. 2. Jambo linaloamsha fikra na kuendeleza kufikiri. 3. Kitu kinachompa mtu hamasa ya kutenda.

makemeo

1. Maneno ya kuonya dhidi ya mwenendo mbaya. 2. Maneno makali yanayoambiwa mtu kwa hasira.