Maringo ya mtu kujiona bora au kujivuna.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alipiga ndweo baada ya kusifiwa.
Conceit; proud and self-important behaviour.
Nomino
Example
He acted conceitedly after being praised.
Vanité; comportement orgueilleux et prétentieux.
Nomino
Exemple
Il a fait preuve de vanité après avoir été félicité.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi