Vinjari kwa Silabi

Silabi: ea

Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi ea.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 6

Vidahizo

6 kwenye ukurasa huu

elea

1. Kaa juu au ndani ya kimiminika bila kuzama chini. 2. Hisi kichefuchefu au hamu ya kutapika. 3. Fahamika wazi kwa mtu.

mezea

1. Vumilia maumivu au shida bila kusema kwa wengine. 2. Hifadhi jambo moyoni bila kulitoa kwa mtu mwingine.