Maana 1 Kitenzi Kumeza kitu au chakula taratibu bila kutafuna. Mfano wa matumizi: Alilazimika mezea kidonge bila maji.
Maana 2 Kitenzi Kuvumilia au kustahimili jambo lisilopendeza bila kulalamika hadharani. Mfano wa matumizi: Alimezea maneno machungu aliyotupiwa na mwenzake.