Vinjari kwa Silabi

Silabi: e

Vimepatikana vidahizo 12 vinavyoishia kwa silabi e.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 12

Vidahizo

12 kwenye ukurasa huu

chogoe

1. Mti mrefu wenye ndoano au kingoe kwenye ncha unaotumiwa kuangua matunda. 2. Kifaa chenye mpini na kichwa kinachotumiwa kupigia mpira katika mch...

gae

1. Kipande kilichovunjika kutoka chombo cha udongo. 2. Mtu mwenye tabia ya kuwachekesha wengine.

kigoe

1. Mti mrefu wenye panda wa kuangulia matunda. 2. Fimbo ya kugongea mpira wa gofu.

ngoe

1. Mchoro wenye matawi kama mti unaoonyesha uchanganuzi. 2. Tawi au kijiti chenye panda kinachowekwa kwa mwelekeo uliogeuzwa.

ugoe

1. Utegaji wa mguu uliopindwa ili kumwangusha mpinzani. 2. Fimbo yenye ncha iliyopindwa ya kuvuta matawi au kuangua matunda.

vue

1. Nyasi za eneo lenye miti michache. 2. Shairi lisilofungwa na arudhi za kimapokeo.