kitangatangae

Mtu asiye na makazi ya kudumu na anayehama hama kutoka sehemu moja hadi nyingine bila mpangilio maalumu.

Mtu asiye na makazi ya kudumu na anayehamahama bila utaratibu.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
mhamaji

Vinyume

2 jumla
mkaajimkazi

Asili ya neno

kutangatanga