Vinjari kwa Silabi

Silabi: de

Vimepatikana vidahizo 15 vinavyoishia kwa silabi de.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 15

Vidahizo

15 kwenye ukurasa huu

gude

1. Ndege wa jamii ya kipwe mwenye mdomo usiopinda na mabawa yanayokutana karibu na mkia. 2. Zana ya seremala yenye ncha ya kutobolea mbao.

kode

1. Vijiwe vya kuchezea kwa kuvitumbukiza na kuvitoa kwenye vishimo. 2. Mchezo wa kurusha vijiwe na kuviingiza au kuvitoa kwenye vishimo.

mede

1. Kitanda ambacho upande wake hutumiwa kukalia. 2. Sehemu ya hifadhi anayokimbilia anayefukuzwa katika kibe.