Tamko la kuomba kwa upole, kusihi au kuomba radhi.
Kihisishi
Mfano wa matumizi
Chonde, nipishe nipite na mzigo huu.
Please; an expression of pleading, polite appeal or apology.
Kihisishi
Example
Please, make room for me to pass with this load.
De grâce; expression de supplication, de demande polie ou d’excuse.
Kihisishi
Exemple
De grâce, laissez-moi passer avec ce chargement.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi