Vinjari kwa Silabi

Silabi: bo

Vimepatikana vidahizo 84 vinavyoishia kwa silabi bo.

Ukurasa 1 / 2 Jumla 84

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

ambo

1. Dutu inayonata inayotumiwa kugandisha vitu pamoja; gundi au ulimbo. 2. Ugonjwa unaojitokeza na kuenea kwa watu wengi katika kipindi fulani; ugo...

bambo

1. Fimbo ya kujiegemeza wakati wa kutembea; mkongojo. 2. Kifaa chenye ncha kali cha kuchota sampuli ya nafaka ndani ya gunia kwa ajili ya ukaguzi....

bibo

Sehemu ya tunda la mkorosho yenye nyama ambayo korosho hushikamana nayo upande wa chini.

bombo

1. Suruali fupi inayofikia magotini au juu yake; kaptura. 2. Ndege anayefanana na fumbwe anayekula nyasi na nafaka. 3. Mafua makali yanayoambukiz...

chombo

1. Kifaa au zana inayotumiwa kufanya kazi fulani. 2. Pambo la kuvaliwa, kama kidani au bangili. 3. Kitu cha kutilia, kubebea au kuhifadhia vitu, ...

fumbo

1. Maneno yenye maana iliyositiriwa. 2. Jambo lisilojulikana ukweli au undani wake. 3. Jambo ambalo halieleweki bayana. 4. Kitendawili kinachote...

jimbo

1. Sehemu ya nchi inayojumuisha wilaya kadhaa. 2. Eneo la wapiga kura linalowakilishwa na mbunge. 3. Majani yanayochemshwa kwa maji ya kuogeshea ...

kumbo

1. Tendo la kuchukua watu au vitu vingi pamoja. 2. Msukumo mkali unaotolewa ghafla.

lambo

1. Kizuizi kilichojengwa ili maji yasifurike. 2. Shimo kubwa linalotumika kuhifadhi maji.

makombo

1. Chakula kilichosalia baada ya mlo kuliwa. 2. Sehemu za kitu zinazobaki baada ya matumizi.

mambo

1. Habari au masuala yanayohusu tukio fulani. 2. Kipande cha mti kinachopigiliwa ardhini kuweka alama.

mkumbo

1. Uondoaji wa vitu vyote kwa mara moja. 2. Msukumo wa watu au vitu vingi vinavyoelekea pamoja.