kifimbo

0

1. Kijiti cha mviringo cha kusukumia unga wa chapati.

Nomino
Mfano wa matumizi Alisukuma chapati kwa kifimbo.

2. Fimbo yenye ukubwa mdogo.

Nomino
Mfano wa matumizi Mtoto alichora mchangani kwa kifimbo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →