Vinjari kwa Silabi

Silabi: baa

Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi baa.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 9

Vidahizo

9 kwenye ukurasa huu

pumbaa

1. Kuwa katika hali ya kutoelewa au kufikiri kwa upumbavu. 2. Shikwa na mshangao hadi udumae.

zubaa

1. Kupigwa na mshangao na kukosa mwitikio wa haraka. 2. Kupoteza uchangamfu na hamasa.