Maana 1
Kukataa jambo, ombi, au pendekezo kwa msimamo mkali na bila kubadilika.
Mfano wa matumizi: Alipombembeleza sana, alizidi kuabaa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.