ekua
Vunja au ondoa sehemu ya kitu kilichojengwa.
Vimepatikana vidahizo 455 vinavyoishia kwa silabi a.
Vunja au ondoa sehemu ya kitu kilichojengwa.
Kuwa na uzito au mwelekeo zaidi upande mmoja.
Nenda mahali kumfuata mtu au kupata kitu.
Sambaa na kufika sehemu nyingi au zote.
1. Ondoa tabaka linaloelea juu ya kimiminika. 2. Mtoe mtu katika kazi au nafasi aliyokuwa nayo.
1. Toa chombo cha kupikia kutoka kwenye moto au jiko. 2. Mtoe mtu katika hali ya hatari.
Ondoa unajisi au mwiko kwa tendo la kutakasa.
Ondoa kifuniko cha juu cha nyumba.
1. Mtendee mtu jambo. 2. Fanya jambo kwa niaba au kwa ajili ya mwingine. 3. Tekeleza jambo katika mahali panapotajwa.
1. Kufa kwa sababu ya kupigania jambo. 2. Mpenda mtu kwa nguvu sana.
1. Weka wazi kitu au jambo lililositiriwa. 2. Toa malipo ya kumwona bi harusi mara ya kwanza.
1. Ondoa kifuniko cha kitu. 2. Geuza kitu upande wa ndani uwe nje. 3. Fumua kitu kilichotengenezwa kwa kufuma.
1. Fika na ukae ugenini mahali fulani. 2. Timiza lengo, umri au hatua inayohitajika. 3. Timia kiasi au kiwango kinachotajwa. 4. Kuta hali fulani...
Nasa picha ya mtu au kitu kwa kamera.
Nenda ukimfuata mtu aliyeko mbele.
1. Rudishia kiumbe kilichokufa uhai. 2. Anzisha upya shughuli iliyokuwa imesimama.
1. Rudisha udongo shimoni mpaka lijae. 2. Ficha kitu chini ya udongo.
1. Fungua sehemu zilizokuwa zimefumbwa. 2. Eleza wazi jambo lililofichwa au lisiloeleweka.
1. Tenganisha nyuzi za kitu kilichofumwa. 2. Fungua nywele zilizokuwa zimesukwa. 3. Chomoa kitu kutoka mahali kilipowekwa. 4. Mpige mtu vibaya, ...
Mzuie mhusika kushiriki shughuli kwa kumpiga marufuku.
1. Panua kitu kwa kukijaza hewa. 2. Toa nje kilichokuwa kimefichwa ndani. 3. Nyonyoa nywele au manyoya. 4. Weka bayana mambo yaliyokuwa yamefichwa.
Mjibu mtu kwa maneno ya kejeli.
1. Kusanya nafaka kwa kukata au kupurura mashuke. 2. Sema mambo ya upuuzi kwa namna ya utani.
Peleka madaraka kutoka makao makuu kwenda mikoani au matawini.
1. Tupa au elekeza kitu. 2. Acha au telekeza jambo au mhusika. 3. Toweka au potea. 4. Ujanja au mwenendo wa unafiki katika lugha isiyo rasmi.
Kusanya tembo kutoka mahali ilipogemwa.
Elekea mtu, kitu au upande fulani.
Fanya mtu au kitu kidhoofike au kikonde.
1. Mlio wa mawimbi madogo yanapofika ufukweni. 2. Shindania kitu unachotaka kukipata. 3. Jitokeze katika uchaguzi ukitaka kuchaguliwa. 4. Tetea ...
1. Mtoe mtu au kitu katika hali ya kutokuwa huru. 2. Lipa deni ili urudishiwe kitu kilichowekwa rahani.
Bandua kitu kilichokuwa kimebandikwa.
1. Pigilia kitu ndani ya sehemu nyingine. 2. Acha chuma chenye moto kipoteze joto.
Pitiwa na usingizi kidogo.
Menya kifuniko cha nje cha kitu ili kiwe tayari kuliwa.
1. Ondoa kifuniko kilichositiri kitu. 2. Weka wazi jambo lililokuwa siri.
Tembea kwa kuchechemea.
Mhusika wa kufukiza katika kilinge cha kupunga mashetani.
1. Shtua au ogopesha kwa ghafla. 2. Staajabisha mtu.
1. Kamata kitu au mnyama kwa kumnasa. 2. Angukia mtu au kitu.
Mpe mtu kauli au ushahidi wa kuthibitisha jambo.
Uvaaji wa kanzu na suruali pamoja na koti na kofia ya tunga.
1. Fanya makazi katika mahali papya baada ya kuondoka kwingine. 2. Mvamie mtu kwa shambulizi.
1. Mkeme mtu kwa maneno makali. 2. Mletee mtu aibu au fedheha. 3. Msababishie mtu huzuni.
Kosa la kukiuka sheria.
1. Umbali wa wayo mmoja hadi mwingine katika kutembea. 2. Kipimo cha umbali cha takribani yadi au mita moja. 3. Kitendo cha kutekelezwa kurekebis...
1. Nyosha viungo vilivyochoka. 2. Piga chafya kwa kutoa hewa kwa nguvu puani.
1. Enda kutafuta chakula kwa sababu ya njaa. 2. Choka kutokana na kazi nyingi. 3. Shindwa kuendana na mambo yanavyoendelea.
Mwito wa kuomba kupishwa, hasa bandarini.
Tamko la kukubali kwa uhakika.
1. Weka chakula laini kingi mdomoni unapokula. 2. Kula chakula chenye ulaini. 3. Pata raha kwa kula chakula kitamu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.