tikita

0

1. Kata kwa kisu au msumeno usio na makali.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Fundi anatikita ubao kwa msumeno butu.

2. Lala usingizi mzito na wa kuridhisha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Baada ya kazi ametikita hadi asubuhi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →