Maana 1
Kufanya au kutimiza jambo, agizo, au wajibu kama ilivyoamriwa au ilivyopangwa.
Mfano wa matumizi: Serikali ilitekeleza ahadi zake kwa wananchi.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.