timiza

0

1. Fanya jambo kama lilivyoagizwa au kupangwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mratibu ametimiza ahadi ya kuleta vifaa.

2. Fikisha kiasi au idadi kwenye kiwango kinachotakiwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Ameongeza vitabu vitano kutimiza idadi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →