takata

0

1. Kuwa safi bila uchafu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Sakafu ilitakata baada ya kuoshwa.

2. Katika bao, sambaza kete baada ya kukosa mtaji ili upate kula.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mchezaji alitakata kete baada ya kukosa mtaji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →