Maana 1
Kuamini au kukubali jambo kuwa ni kweli bila shaka au tashwishi.
Mfano wa matumizi: Usisadiki kila unachosikia bila kuchunguza ukweli wake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.