Maana 1
Kutoa kauli au tendo la kupinga, kukataa, au kusema jambo fulani si kweli.
Mfano wa matumizi: Alikanusha tuhuma zote zilizotolewa dhidi yake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.