Mlaghai mwenye ujanja mwingi wa kuwadanganya wengine.
Nomino
Mfano wa matumizi
Katika simulizi, pwagu alikutana na pwaguzi.
Master trickster; a highly cunning and deceitful person.
Nomino
Example
In the story, the trickster met an even greater trickster.
Escroc très rusé; personne particulièrement habile à tromper les autres.
Nomino
Exemple
Dans le récit, le filou a rencontré plus rusé que lui.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi