programu

0

1. Mpango unaoweka utaratibu wa kutekeleza jambo.

Nomino
Mfano wa matumizi Programu ya mafunzo itaanza Jumatatu.

2. Mfuatano wa maagizo unaowezesha kompyuta kutekeleza kazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Programu hii husaidia kupanga taarifa za wanafunzi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →