poteza

0

1. Fanya kitu kisipatikane au kisionekane kilipo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nilipoteza kalamu yangu sokoni.

2. Tumia kitu bila manufaa au kwa uzembe.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Tusipoteze maji kwa kuyaacha yakimwagika.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →