popoa

0

1. Angusha matunda mtini kwa kuyarushia jiwe au kijiti.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Watoto walipopoa maembe kwa kijiti.

2. Mrushie mtu kitu kwa lengo la kumpiga.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Msimpopoe mtu kwa mawe.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →