1. Rejea katika afya nzuri baada ya kuugua.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wekesa amepona na amerudi kazini.
2. Nusurika katika ajali au hatari.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Abiria wote walipona katika ajali hiyo.
1. Recover; regain health after illness.
Kitenzi
Example
Wekesa has recovered and returned to work.
2. Survive; escape an accident or danger.
Kitenzi
Example
All the passengers survived that accident.
1. Guérir; retrouver la santé après une maladie.
Kitenzi
Exemple
Wekesa a guéri et a repris le travail.
2. S'en sortir; survivre à un accident ou à un danger.
Kitenzi
Exemple
Tous les passagers ont survécu à cet accident.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi