pombe

Kinywaji chenye kilevi kinachotengenezwa kwa kuchachusha nafaka, matunda, au vitu vingine vyenye sukari na kutumiwa na watu kwa lengo la kulewesha.

Kinywaji chenye kilevi kinachotumiwa na watu kwa lengo la kulewesha.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
kileo

Vinyume

2 jumla
kikombemaji

Asili ya neno

Asili ya Kibantu