1. Mchoro unaoonyesha mpangilio wa jengo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mjenzi alikagua plani kabla ya kuanza kazi.
2. Mpango wa namna jambo litakavyofanywa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Tuna plani ya kufungua maktaba ya kijiji.
1. Building plan; a drawing showing a building's layout.
Nomino
Example
The builder examined the plan before starting work.
2. Plan; an arrangement for carrying out an activity.
Nomino
Example
We have a plan to open a village library.
1. Plan de bâtiment; dessin représentant l'agencement d'une construction.
Nomino
Exemple
Le maçon a examiné le plan avant de commencer le travail.
2. Plan; organisation prévue pour accomplir une activité.
Nomino
Exemple
Nous avons un plan pour ouvrir une bibliothèque villageoise.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi