pitisha

0

1. Mwezeshe mtu au kitu kupita mahali.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mwenyeji alitupitisha njia ya mkato.

2. Toa idhini rasmi kwa jambo, hasa mswada au uamuzi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kamati ilipitisha mapendekezo hayo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →