pitia

0

1. Pita katika mahali fulani wakati wa safari.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Tutapitia Musoma kabla ya kufika Mwanza.

2. Mtembelee mtu kwa muda ukiwa njiani.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nitampitia Mukamana nikitoka sokoni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →