pipa

0

1. Chombo kikubwa cha duara cha kuhifadhia maji, mafuta au vitu vingine.

Nomino
Mfano wa matumizi Tulijaza pipa maji ya mvua.

2. Jina lisilo rasmi la ndege ya kusafiria angani.

Nomino
Mfano wa matumizi Walipanda pipa kwenda Entebbe.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →