pepesa

Kufumba na kufumbua macho haraka mara nyingi, hasa kwa kuyarusha kope bila kuyafumba kabisa.

Kutikisa kope za macho haraka mara nyingi bila kuyafumba kabisa.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
pepeta

Asili ya neno

Kiswahili